Luke 6:24-26


24 a“Lakini ole wenu ninyi mlio matajiri,
kwa sababu mmekwisha kupokea faraja yenu.

25 bOle wenu ninyi mlioshiba sasa,
maana mtaona njaa.
Ole wenu ninyi mnaocheka sasa,
maana mtaomboleza na kulia.

26 cOle wenu watu watakapowasifu,
kwani ndivyo baba zao walivyowasifu
manabii wa uongo.

Wapendeni Adui Zenu

(Mathayo 5:38-48)

Copyright information for SwhKC